0 1
Read Time:46 Second

#DIASPORA
Jikomboe Kifikra Kwa Kusoma Kitabu Hiki

Naitwa Prince Katega II. Ni Mtanzania ninayeishi Uingereza, pia ni msomi mbobezi katika Historia ya Afrika.Nakukaribisha katika chakula hiki bora cha akili (kitabu), nilichokuandalia kwa upendo ili ujifunze mambo yatakayokufanya ujikomboe kifikra.Kitabu hiki kinaitwa; Ukuu wa Mwafrika Uliofunikwa. Ni Toleo la Kwanza na ndani ya kitabu hiki nimeeleza mambo 90 ambayo Wazungu Hawataki Uyajue, wakitumia nguvu kubwa kwa miaka mingi kuhakikisha wanaufunika ukweli kuhusu sisi (Waafrika) ili waendelee kututawala kiuchumi na *kifikra*Mambo yote niliyoyaeleza kwenye kitabu hiki, nimeyafanyia uchunguzi wa kina. Kwa zaidi ya miaka 10, nimefika sehemu mbalimbali duniani, zenye ushahidi halisi wa historia ya mtu mweusi (Mwafrika).
Nimefika Uingereza, Marekani, Misri, Uholanzi, Hispania, Uturuki, Ufaransa, Uswisi na nchi nyingine mbalimbali ndani na nje ya bara la Afrika, kutafuta na kushuhudia ukweli.

Kitabu hiki kinapatikana kwa Tsh. 15,000/-

Contact :+255715353076 / +255762829716,

WhatsApp: +255715353076

Mikoani kinakufikia pia.

Kataa utumwa, Jikomboe Kifikra, Jitambue.

Happy
Happy
88 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
13 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %