Wuhan Tanzania Students Association WUTASA
Michuano ya #AFCON china hufanyika kila mwaka isipokuwa mwaka jana kutokana na maabukizi ya COVID.Mwaka huu yalinza, Jumamosi Mei 1, 2021 na jana Mei 3, 2021 Bongo Team (Team ya Tanzania Wuhan) walikua na mchezo wao wa kwanza dhidi ya DRC na kufanikiwa kuwafunga bao 1 kwa 0. kwa sasa bado tupo kwenye group stages (Group C), ambapo kuna Bongo Team (Tanzania), DRC na GABON. Kesho ndio tutacheza na GABON saa tano na nusu asubuhi, Mei 5, 2021.John A. NyantoriAfisa Habari #WUTASA