BREAKING NEWS
Na mwandishi wetu SA.
WU.
JOHANNESBURG SOUTH AFRICA
Habari zilizo tufikia kutoka Afrika ya Kusini mjini Johannesburg,Watu wawili waliotambulika kama Watanzania wameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuvamia nyumba moja mjini hapo kwa madhumuni yasiyojulikana. Watu hao wawili walifarika papo hapo baada ya kushambuliwa kwa silaha za moto na jirani wa nyumba hiyo ambaye alitambulika kama mstahafu wa Metro Police.Watu wengine watatu wapo mahututi baada ya kujeruhiwa vibaya katika shambulio Hilo,ambapo inaamnika wenzao wengine walifanikiwa kukimbia.
Bado tunafuatlia kwa karibu kupata ukweli zaidi.
Read Time:26 Second