
DarEsSalaam Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya Equity (T) Robert Kiboti pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya PASS Trust wakitia saini mkataba wa makubaliano wa udhamini wa mikopo ya kilimo jijini Dar es salaam leo.
Kupitia mpango huo maalum, taasisI ya PASS Trust itawekeza katika Benki ya Equity kiasi cha Dola milioni moja (Shilingi 2.3bn) zitakazotumika kama dhamana ya mikopo ya wakulima na wafanyabiashara katika kilimo nchini. #TUPOPamojaKuendelezaKilimoBiashara










