
Read Time:14 Second
Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki ya Equity (T), Esther Kitoka akichukua risiti yake katika mashine maalumu ya kuweka fedha iliyopo kwenye tawi la Mwenge, ambapo sasa mteja ataweza kufanya miamala ya kuweka pesa kwa kujihudumia mwenyewe kwa haraka na kupata risiti papo hapo baada ya huduma.
#ThePowerOfService
#equitybank













