
HADHI MAALUM KWA WATANZANIA DIASPORA INAKUJA
WU ® MEDIA
Mara baada ya kurejea nyumbani, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akiwa bado airport alitupa Salaams kutoka kwa Watanzania DIASPORA wanaoishi Ulaya na akatumia fursa hiyo kutuambia baadhi ya maombi yao na akatoa Kauli kuwa Hadhi Maalum Inakuja kwa Watanzania Diaspora wanaoishi Nje ya Tanzania.