0 0
Read Time:24 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Ubalozi wa Tanzania nchini DRC kupitia Konseli Kuu ya Lubumbashi umefanya mazungumzo na Dkt. Banze Nkulu Mulunda Frank, Mkurugenzi wa Uendeeshaji wa Wakala wa Meli nchini DRC (LMC).
Kupitia mazungumzo, LMC inatarajia kufungua ofisi yake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kusimamia shehena ya mizigo ya DRC (import & export) inayopitia Bandari ya DSM. Hatua hii inatarajiwa kuongeza shehena ya mizigo ya DRC inayopita katika Bandari za Tanzania. LMC inasimamia 40% ya shehena yote ya DRC.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %