
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi ,Mh Humphrey Herson Polepole amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dr Lazarus McCarthy Chakwera. Sambamba na zoezi Hilo la kukabidhi Hati za Utambulisho, Balozi Polepole amekuwa na mazungumzo ya faragha na Rais Chakwera.











