0 0
Read Time:21 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dr. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki maziko ya Kaka yake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

Maziko hayo yalihudhuriwa pia na Alhaji Mzee Ali Hassan Mwinyi, ambaye ni baba mzazi wa Marehemu. Wengine waliohudhuria ni viongozi mbalimbali wa Dini, Siasa, Serikali na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

📆 31 Agosti, 2022

Mangapwani, Unguja

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
100 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %