
Maputo , MSUMBIJI
Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Phaustine Kasike alikutana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Joaquim Chissano, Prof. José Magode katika Ofisi za Chuo Jijini Maputo tarehe 22/3/24.Pamoja na masuala ya ushirikiano viongozi hao wamekubaliana kuanzisha Darasa la Kiswahili Chuoni hapo

