
Read Time:20 Second
Istanbul TURKEY
WU® MEDIA
NDUGU RABIA ABDALLA HAMID MJUMBE WA KAMATI KUU AONGOZA KIKAO KAZI NA VIONGOZI WA DIASPORA NCHINI UTURUKI .
Ndugu Rabia Abdalla Hamid Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC – Siasa na Uhusiano Kimataifa ameongoza Kikao Kazi na Viongozi wa Diaspora watanzania waishio nchini Uturuki kilichofanyika 24 Machi 2024 Jijini Istanbul.
