0 0
Read Time:28 Second

Dar Es Salaam, Tanzania

Mhe. Dkt Phillip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuaga Mhe. Marco Lombardi, Balozi wa Italia nchini aliyemaliza muda wake wa kuhudumu.

Makamu wa Rais amempongeza Balozi Lombardi kwa kazi nzuri aliyofanya kwa kuimarisha ushirikiano baina ya pande mbili hususan katika sekta za elimu, afya, kilimo, utalii, utamaduni, ulinzi, usafirishaji, uchumi wa buluu, wanaweka kupitia miradi mbalimbali ambayo Italia inatekeleza hapa nchini.

Mchango wa Balozi Lombardi umetambulika pia katika kuimarisha sekta ya biashara na uwekezaji kupitia makongamano manne aliyoratibu wakati wa muda wake.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %