TATYANNA JUMA MTANZANIA NYOTA MWANAMITINDO WA KIZAZI KIPYA NCHINI ITALY
Na Mwandishi wetu WUยฎ MEDIA Kizazi kipya cha Diaspora Ughaibuni kinavyo itangaza TANZANIA kimataifa Tatyanna Juma ni Msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 18, amezaliwa Tanzania miaka 18 iliyopita.…









