
Read Time:13 Second
Maonesho ya 2 ya Bidhaa za Kilimo kutoka Barani Afrika yatafanyika jijini Changsha Mwezi Sept 2021. Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazoshiriki.Taarifa hiyo imetolewa leo katika mazungumzo ya Naibu Mkurugenzi wa Biashara wa Jimbo la Hunan Ndugu Mr. Li Xinqiu na Balozi Mbelwa









