Kwa watanzania wanaoishi Italy
Kwa mahitaji ya maombi ya passport wasiliana nasi ili kuweza kupata msaada wa taratibu za maombi kwa haraka.
VIELELEZO VINAVYOHITAJIKA WAKATI WA UJAZAJI WA FOMU YA MAOMBI YA PASIPOTI
- Cheti cha Kuzaliwa Mwombaji
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji
- Kitambulisho cha Taifa /Pasipoti ya zamani
- Picha ya Mwombaji ya hivi karibuni yenye kivuli cha rangi ya buluu isiyokoza (Light blue Background)
- Ada ya Fomu euro 15
- Ushahidi wa Safari au Ushahidi wa Shughuli anayofanya Mwombaji.
- Ada ya passport euro 75
- ada ya huduma euro 50
Malipo yatumwe kwenye account ya Postapay namba:
4023 6009 3329 9853
kwa maelezo wasiliana nasi kwa simu moja kwa moja au whatsApp msg.
Hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Pasipoti kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji (kwa Watanzania walio nje ya nchi watawakilisha fomu zao katika ubalozi wa Tanzania mahali alipo) iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Pasipoti.