0 0
Read Time:28 Second

DK. MWINYI AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Zanzibar

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameapishwa rasmi leo Tarehe 01 Novemba, 2025 kuwa rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika uwanja wa New Amani Complex uliopo wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, ili kuiongoza Zanzibar kwa Awamu ya Pili ya Miaka Mitano mengine.

Dk. Hussein Mwinyi ameibuka mshindi katika kinyanganyiro cha Uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 mwaka huu ambapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ilipomtangaza kuwa mshindi kwa kuibuka na Ushindi wa Kura 448,892 ikiwa sawa na asilimia 74.8.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %