SEKTA BINAFSI TANZANIA-VIETNAM ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA
Hanoi Vietnam Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo…