TANZANIA YAJIZATITI KUTUMIA FURSA NDANI NA NJE YA NCHI
Dodoma Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa kushirikiana na nchi mbalimbali duniani ili kukuza uchumi wa nchi kupitia fursa za biashara, uwekezaji na utalii zilizopo ndani na…