0 0
Read Time:19 Second

Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb na mke wake Suzanne Innes-Stubb wanatarajiwa kufanya ziara ya kiserikali Mei 14 – 15 nchini Tanzania

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Finland nchini rais Alexander Stubb na mwenzi wake Suzanne Innes-Stubb akiwa nchini pamoja na mambo mengine kupitia ziara hiyo itasherekea miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Finland na Tanzania.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %