WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAWASILI NCHINI
WU®Media Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari yao. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ndege…










