0 0
Read Time:25 Second

Germany

Mwanamuziki Ebrahim Makunja kutunukiwa Award ya “Ambassador of African Culture” tuzo hiyo inayotolewa na Africa We want organisation la ujerumani linautambua mchango wa mwanamuziki huyo mtanzania kiongozi na mwanzilishi wa bendi maarufu The Ngoma Africa Band yenye majina mengi yaliobatizwa na washabiki wake kama Viumbe imara wa ajabu “Anunnaki Alien’s ” ktuoka special Planet Bongoland, FFU Ughaibuni wakifananishwa kikosi maalumu, Kikosi kazi hiko The Ngoma Africa Band chenye masikani kule ujerumani ambayo kimeutangaza vema muziki wa kiafrika katika kila kona za kimataifa 🎼👏🏿

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %