0 0
Read Time:30 Second

01/11/2025

‘Uchaguzi umeisha tusimame pamoja kama Taifa’ – Hotuba ya Kwanza ya Samia Suluhu

Rais Samia Suluhu Hassan akabidhiwa cheti cha ushindi wa uchaguzi wa 2025 na Tume Huru ya Taifa nchini Tanzania (INEC) uliofanyika tarehe 29/10/2025.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mwenyekiti wa INEC amesema kwamba kulingana na Katiba ya Tanzania mshindi anahitaji tu kuwa na kura nyingi kuliko washindani wengine.

INEC ikitangaza mshindi mtokeo hayawezi kubatilishwa ama mahakamani au kupitia mahakama ya utatuzi wa mizozo ya INEC.

Rais Samia alipata ushindi kwa kupata kura 31,913,866 kati ya 32,678,844 zilizopigwa.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %