
Vatican
(Photo) | Mhe. Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Mhe. Rais wa Finland, Aleksander Stubb katika Mazishi ya Baba Mtakatifu ambapo Mhe. Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 May 2025, wiki mbili zijazo. Mhe. Makamo wa Rais Mpango alimjuulisha kuwa mipango yote ya ziara yake hiyo ya Kitaifa imekamilika na atakuwa Mgeni Rasmi wa Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
