BALOZI WA TANZANIA ITALY AZINDUA RASMI JUMUIYA YA WATANZANIA CENTRO NORD ITALIA
Ziara ya Balozi wa Tanzania Castelfranco Emilia Na mwandishi wetu WU® MEDIA Castelfranco Emilia, Jumamosi, 13/05/2023 Jumuiya ya Watanzania wa Centro Nord imezinduliwa rasmi leo katika sherehe kubwa iliyohudhuriwa na…