KIJANA WA BONGOZOZO APEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA CROATIA
WU®MEDIA Kijana wa Kiume wa Muhamasishaji Bongozozo aitwae Mickey Reynolds (18) ameibuka Mshindi wa kwanza wa mashindano ya “Karlovac Mile” yaliyofanyika nchini Croatia ambapo amewashinda Washiriki wengine 126. Mickey ameshinda…