KIONA MBALI : Bwawani imekosa mwekezaji, tufyeke pori linaloizunguka
KIONAMBALI Salum Vuai NI zaidi ya muongo mmoja sasa tangu hoteli ya Bwawani iache kutumika kwa mapokezi na malazi ya wageni mbalimbali wakiwemo watalii. Inasikitisha kwamba hoteli hii iliyokuwa na…