
Read Time:13 Second
WU®Media PRODUCTION
Dkt. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa JMT, ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo la Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
JK anajulikana kuwa ni uhodari katika kushughulikia migogoro ya kikanda. Hakika Jumuiya ya SADC imepata mtu sahihi sana.










