0 0
Read Time:19 Second



Jumuiya ya Watanzania Ugiriki (Greece) inasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu

SAIDI HASSAN MGOI  (pichani) (Maarufu kwa jina la CHANCE)kilichotokea hospitali ya mjini Piraeus J’tatu 1/8/2011. Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki alikuwa ni mkaazi wa Tandika Dar.Hivi sasa tupo katika harakati za michango ya kutuwezesha kumsafirisha nyumbani.

Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin.

INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN

Kayu Ligopora
KATIBU

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %