0 0
Read Time:24 Second

Kwa picha zaidi GONGA HAPA

Kama ilivyo kawaida ya watanzania wa ugiriki kila mwezi wa Ramadhani kuandaa futari ya pamoja kwenye ofisi ya jumuiya,na mwaka huu tuliiendeleza ada hii.Tulikutana 27/08 Jumamosi na kila mmoja-bila kubagua- alileta futari aliyoiandaa nyumbani kwake.

Tunamuomba ALLAH atujaalie SWAUMUN MAQBUUL

Tunamuomba M/Mungu atupe uhai na mwakani tuifanikishe zaidi.

Tunamuomba Mola atuzidishie upendo na atuepusha na kila balaa. AMEN
Kwa picha za ziada tembelea fb “serengeti ugiriki”na”watanzania ugiriki”
Kayu Ligopora
Katibu wa jumuiya

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %