0 0
Read Time:27 Second
Mtandao wa WABONGO UGHAIBUNI KWA niaba ya WATANZANIA WOTE UGHAIBUNI  imezipokea taarifa za ajali kwa masikitiko makubwa tunachukua   nafasi hii kuungana na Ndugu na jamaa pamoja na Taifa zima kuwa tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.Mwenyezi Mungu aziweke roho zao peponi. Kwa wale waliookoka,tunamuomba Mola awakutanishe na familia zao wakiwa katika hali ya afya,utulivu na usalama.

Ni matumaini yetu vyombo husika vitatoa maelezo kamili kuhusiana na ajali ili ziweze kuchukuliwa taadhari zaidi siku za usoni.



MUNGU  IBARIKI TANZANIA!!!!

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %