
Pichani ni Meneja wa Huduma Mbadala za Kibenki, Magreth Mwasumbi, Meneja wa Diaspora, Doreen Raphael, na Mkuu wa Kitengo cha Malipo na TEHAMA wakiwa katika uzinduzi rasmi wa kadi ya Visa kwa sarafu ya Dola. Sasa unaweza kutembelea tawi letu lolote karibu yako kujipatia kadi yako ya akaunti ya dola#LipaBilaMakato#KadiYaDola