0 0
Read Time:36 Second

UK

Balozi Mbelwa atoa shukrani za dhati kwa Kampuni ya @JustFittz ya jijini Dar es Salaam kwa kudhamini mashindano ya Swahili UK Football Bonanza yatakayofanyika katika mji wa Leeds tarehe 31 Mei 2025.

Katika mazungumzo yake na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Salim Salim amemuhakikishia utayari wa Kampuni yake kuendelea kuunga mkono jitihada za kukuza vipaji vya michezo kwa vijana wa kitanzania ndani na nje ya nchi. Nae amemuahidi ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza katika kufanikisha lengo hilo.

Balozi Mbelwa azindua rasmi nembo ya mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kama Swahili UK Football Bonanza yatakayofanyika jijini Leeds tarehe 31 Mei 2025.  Mashindano hayo yatashirikisha timu za wanadiaspora kutoka miji ya Leeds, Glasgow, Leicester, Newcastle na London

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %