0 0
Read Time:22 Second

Berlin GERMANY

Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametembelea Ubalozi wa Tanzania Berlin, Ujerumani na kupokelewa na Mheshimiwa Hassani Iddi Mwamweta, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani.

Mheshimiwa Waziri Tax yuko Ujerumani kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Ulinzi wa Nchi zinazoshiriki Operesheni za Amani za Umoja wa Mataifa (UNPeacekeeping Ministerial Conference 2025) kuanzia tarehe 13 – 14 Mei 2025 Berlin, Ujerumani.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %