Read Time:11 Second
Dodoma TANZANIA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kura 369 baada ya kuteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Paris France WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ya kimataifa. “Kadiri Kiswahili kinavyoendelea kupata hadhi ya…
Moscow, Urusi RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amesifu mchango wa Chuo Kikuu cha Urafiki cha Watu wa Urusi (RUDN) katika ukombozi wa nchi za Afrika akisema kimesadifu maono ya viongozi…