Read Time:34 Second
Jumuiya ya watanzania ugiriki ilisherehekea miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye ofisi ya jumuiya J’mosi 14/02.Tulilazimika kuichelewesha kwa siku mbili kutokana na mihangaiko ya kikazi.
WABONGO UGHAIBUNI
Sherehe zilianza kwa wimbo wa Taifa na kufuatiwa na risala fupi ya Mwenyekiti mwanzilishi wa Jumuiya yetu bw.Suleiman Nassib (DIDOS)ambae alisisitizia umuhimu wa umoja na ushirikiano.
Ilifuatiwa na shukurani za bi.Joan mwakilishi wa kikundi cha wanafunzi wa Holland tuliowakaribisha rasmi katika sherehe yetu.
Baadae mke wa Mwenyekiti Bi Asha Chunda alikata keki maalum ya mapinduzi na bw.Jackson na bi Sandra walitumbuiza na kuchangamsha ukumbi kwa nyimbo zao zilizowanyanyua hata wageni wetu.
Sherehe ziliendelea hadi alfajiri
KAYU LIGOPORA
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA UGIRIKI
Na Kagutta NM | 25-4-2025 CASERTA ITALY DIASPORA BALOZI UNGANANA NA WATANZANIA KUSHEREHEKEA MIAKA 62 YA MAPINDUZI Mh. Mbarouk Nassor Mbarouk Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy,…
Bologna Italy Na Kagutta Maulidi | Italy Kampuni ya uchapishaji ya kitanzania APE NETWORK imeshiriki maonyesho makubwa ya kimataifa ya vitabu vya watoto nchini Italy. Maonyesho hayo ya 63 ya…

















