0 0
Read Time:37 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy Mh Mahamoud Thabit Kombo ameongea na Watanzania wanaoishi Italy mara baada ya chakula cha sadaka kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Italy (IN CAMPANIA) kufuatia msiba wa marehemu MUSTAFA KARIM ambaye alifariki nchini Italy akiwa nyumbani kwake . Hotuba ya Mh Balozi ilikuwa na ujumbe mzito Sana kwa Watanzania waishio Italy.
Mh Balozi akiongea jambo na Makamu mwenyekiti wa kamati ya Diaspora nchini Italy, Ndugu Ricky Johnson George Bondo, mara baada ya kumalizika shughuli .
Pamoja na Ratiba za msiba lakini Mh Balozi alitumia muda wake kabla ya kuondoka kuwasikiliza Watanzania mmoja mmoja ambao walitaka kuongea nae faragha na wengi walipenda tu kumsalimia na kumshukuru kwa kuwa nao kwenye msiba
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %