


Kama tunavyojua wenzetu walio safiri wameshafika Tanzania sasahivi wanalula Bata. Kwa wale watakaohitaji kurejea Tanzania naomba muwasilishe majina yenu kwenye namba ya whatsapp ama SMS +1 (802) 231-3037
Au Bonyeza Link kujisajili https://docs.google.com/document/d/12XOKq1R48MhazOk2hM0Betn3A84MkyTAAm1uVNEyEx0/edit?usp=drivesdk
.
Tafadhali andika majina yako Kamili kama yalivyo kwenye Passport ama cheti chako cha kuzaliwa.
.
Hii ni hatua ya Awali at least mkijiandikisha watu 150 na sisi tukayapeleka majina kwa Viongozi wa TACOSA basi nao itakuwa rahisi kwenda ubalozini kwaajili ya Kukamilisha Utaratibu zaidi.








