
Read Time:14 Second
“Pumzika Mzee wetu Mkapa,Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi..Amen.” Pole sana Raisi wetu Dr John Pombe Magufuli kwa msiba huu mzito wa mzee wetu Raisi mstaafu awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa ambaye kwako alikuwa kama baba aliekulea kisiasa.
Buriani Mkapa.








