0 0
Read Time:1 Minute, 6 Second

Ndugu wateja,

Hill View Shipping inapenda kuwajuulisha Mwenyezi Mungu akipenda itaondoa mzigo siku ya Wednesday tarehe 29/07/2020, kwa bahati mbaya hatukupata kama kawaida yetu booking ya Thursday.Kwa upende wa Reading tunaomba mulete mizigo yenu ASAP Lakini last collection itakuwa Wednesday 28/07/2020 @ 14:00 at our Reading Office. ( preferable collection at our Reading office Tuesday 27/07 @ 16:00)Kwa upende wa Coventry mzigo tutapokea Mpaka Tuesday 28/07 tarehe @ 16:00.Northampton wasiliana na Said preferable last collection mpaka Tuesday 28/07 @ 16:00.Tutapita Oxford siku ya Tuesday 28/07 (minimum free collection 15kg ).Kwa upande wa East LONDON please tutapita siku ya Tuesday 28/07/2020Tafadhali wasiliana na Mr Ayoub Mzee – +44 7459 857619 kwa upande wa East London.

Ku arrange collection Kwa upande wa Oxford na Reading wasiliana nami kwenye 07958638075 au Abuu Mbarka – 07733 596335

Offer yetu kwa kipindi hichi cha fadhaa ( temporary price offer ) – ni

£6.50 kwa Dar &
£6.00 kwa Zanzibar.

Kwa Northampton wasiliana na
Said Aly – 07412 036314.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi katika Office zetu :-

Reading Office – +44 (0) 118 956 9330

Coventry Office – +44 (0) 24 7630 3004

Mob: 07958638075

Ndugu wateja tunaomba radhi ya ongezeko la bei katika kipindi hichi , lakini we monitor the situation and we constant reviewing the situation and options.

Shukran

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
100 %
Surprise
Surprise
0 %