
Read Time:12 Second
Wabongo ughaibuni tumepokea taarifa za msiba mzito wa kiongozi wetu , mzee wetu, raisi msataafu BENJAMIN WILLIAM MKAPA kwa masikitiko makubwa. tunaungana na Watanzania wote nyumbani na duniani kote katika kuomboleza msiba huu mzito wa shujaa wa taifa letu.
MUNGU AMREHEMU.








