0 0
Read Time:13 Second

Hospitali za Tanzania kuanzisha ushirikiano na Hospitali Bingwa ya Magonjwa ya Ubongo ya TIAN TAN ya China. Kupitia ushirikiano huo Madaktari wa Tanzania wataweza kutumia teknolojia ya hospitali hiyo inayotumia “Artificial Intelligence (AI)” kupata tafsiri ya picha za CT Scan na MRI.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %