Chuo Kikuu Zhengzhou cha #China kuanzisha ushirikiano na Chuo Kikuu Dodoma katika utafiti wa uzalishaji wa bidhaa za volkano na uzalishaji wa nishati kwa kutumia joto ardhi. Ubalozi wa #Tanzania nchini China utaratibu upatikanaji wa rasilimali za tafiti hizo kupitia mpango wa One Belt, One Road.
Read Time:14 Second