Read Time:12 Second
China imekuwa nchi ya pili duniani kufikisha kifaa chake kwenye Sayari ya Mars (Mirihi). Kifaa kisicho na rubani kiitwacho ‘Zhurong robot’, jana kimetua kwenye ardhi ya sayari hiyo ya nne kutoka kwenye jua.
Ni Marekani pekee iliyokuwa na rekodi hii.









