0 0
Read Time:30 Second

WU®

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea Butiama leo na kuzuru kaburi la Mwalimu Nyerere. Ameweka ujumbe huu kwenye kitabu cha wageni.

Ujumbe alioandika Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan(
picha ya ujumbe kwa hisani ya Madaraka Nyerere)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Butiama leo tarehe 07 Februari, 2022 kwa ajili ya kuzuru kaburi lake alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Mara.

MwalimuAT100

juliusnyerere

mwalimunyerere

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %