
Read Time:14 Second
WU® MEDIA
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Jamhuri ya Ireland Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro amemkabidhi Balozi wa Misri nchini Uingereza Mhe. Sherif Kamel zawadi ya kitabu chenye picha za vivutio mbalimbali vya hifadhi ya Taifa ya Saadani walipokutana kwa mazungumzo 17 February,2022