Read Time:37 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amewasili Muscut Oman kwa ziara ya siku tatu. Rais amepokelewa na Mwenyekiti wake Sultan Oman Haitham bin Tariq Al Said.

Hanoi Vietnam Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo…
Hanoi VIETNAM Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya…