1 0
Read Time:31 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Mongela:Serikali itawasaka wote wanaohujumu Zoezi la Uwekaji Mipaka Pori Tengefu Lolion

RC MONGELLA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema kuwa Serikali itawasaka wote watakaohujumu zoezi la uwekaji mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo hasa aliyehusika katika mauaji ya askari wilayani Ngorongoro, katika zoezi la uwekaji mipaka katika eneo hilo.

Amewataka wote waliohusika na tukio la mauaji ya askari polisi kujisalimisha katika kituo cha Polisi vinginevyo ajue hayuko salama.

“Amesema hayo leo Juni 12, 2022 wakati wa kuaga mwili wa marehemu Garlius Mwita eneo la Loliondo, wilaya ya Ngorongoro ambapo mwili umeagwa kuelekea nyumbani kwa Musoma Mkoa wa Mara.”

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %