
Read Time:12 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Balozi wa Tanzania nchini Norway mwenye makazi yake nchini Sweden, Mhe. Grace Alfred Olotu amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Norway, Mtukufu Harald V katika hafla iliyofanyika tarehe 9 Juni 2022 kwenye makazi ya Kifalme Oslo, Norway









