0 0
Read Time:17 Second

WU® MEDIA

Jumuiya ya Watanzania nchini China wametangaza fursa ya masoko kwa bidhaa za Tanzania nchini China . Hii inakwenda kuwapa fursa ya kuhifadhi bidhaa kwa usalama na kutafutiwa masoko.

Huu ni mchango Mkubwa unaweza kutolewa na Diaspora wa Tanzania wakiwa ughaibuni.

Msikilize Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania akiwa na Makamu wake

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %