
Dar Es Salaam 4th January,2023
Tanzania Goju Ryu Karate-Do inayotumia mtindo wa Jundo Kan-Kuroobi Kai (badala ya Jundo Kan Shibu) ya Okinawa, Japan, imepata msiba wa Mwana karate maarufu na mmoja wa Walimu wa karate Tanzania Sensei Nicolaus Melkior Kalambo ambae amefariki siku ya Alhamisi tarehe 2/01/2023 mjini Dar es salaam.
Sensei Kalambo alikuwa ni mwalimu wa karate ambae aliweka Makazi yake jijini Mwanza ambako alikuwa na shule ya karate (Dojo )
Mazishi ya Marehemu Sensei Kalambo yamefanyika Leo Kigamboni Dar Es Salaam.
